Haya yanajiri miezi michache tu baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kufichua kuwa nchi hiyo imefanikiwa kupunguza visa vya ugonjwa wa kifua kikuu kwa asilimia 40 katika muongo mmoja uliopita. Mwezi ...
Dalili za ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto zinaonekana kuwa sawa na magonjwa mengine na watoto hawawezi kueleza matatizo yao hivyo mara nyingi huchelewa kutambua ugonjwa huo na kuwa katika hatari ya ...
Utafiti wa hivi karibuni wa wachunguzi wa Marekani umeonesha Afrika, India na mataifa mengine yanayoendelea duniani yamegubikwa na tatizo la dawa bandia au zilizo chini ya kiwango za tiba ya kifua ...
Vipimo vya afya kabla ndoa vitakusaidia kuchukua maamuzi sahihi ya afya Kama kuna kipindi watu wengi huwa tumbo joto, ni kusubiri matokeo ya kipimo cha HIV au magonjwa mengi ya zinaa.Au kuambiwa huna ...