Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya ziara ya ...
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez ...
Meneja wa Simba Dimitar Pantev akiwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa ...
Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuachana na kocha Ruben Amorim haraka iwezekanavyo, ili ...
Zawadi ya ‘Goli La Mama’ Sh10 milioni ilivyokabidhiwa kwa wachezaji wa Singida Black Stars, baada ya mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya awali Kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports ya ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitaja nchi ya Morocco kuwa mwenyeji wa mashindano ya mchujo ya Afrika yatakayozihusisha timu nne kwa ajili ya kuwania nafasi ya ziada kwenye fainali ...
‎Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa Camara wataikosa mechi dhidi ya ...
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa ...
HUWEZI kuwa staa mkubwa kama kazi yako au sanaa unayoifanya haikubaliki katika jamii. Ustaa unaambatana na namna kazi yako ...
KATIKA benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha mkuu Romain Folz, vichwa vinauma wakati maandalizi kuelekea mechi ya ...
Akaweka mkazo katika ujuzi huo akaenda kusoma katika chuo cha udereva hadi akapata leseni ya udereva. Muddy akaanza kuendesha ...
Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi ya raundi ya ...