Waziri wa Madini Hassan Joho amebuni kamati ya kiufundi kushughulikia utata unaoghubika kampuni ya Tata Chemicals Magadi Limited. Kupitia kwa taarifa Jumanne usiku, Joho alitangaza kuwa kamati hiyoita ...
Maafisa wa usalama wanamzuiliwa mshukiwa anayedaiwa kumuua kaka yake baada ya ugomvi kati yao, katika kaunti ya Trans Nzoia. Kulingana na Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Nelson Wanundu al ...
Rais William Ruto ameelezea mashaka kuhusu madeni zinazodaiwa serikali za kaunti kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Ruto ...
Serikali za Kenya na Italia kwa ushirikiano na kampuni ya GKSD, zimetia saini makubaliano ya ujenzi wa hospitali 15 mpya kote ...
Katibu wa zamani wa Michezo Balozi Kirimi Kaberia ni miongoni mwa watu 6 walioshtakiwa kwa madai ya ubadhirifu wa shilingi ...
Serikali imeapa kuhakikisha inalinda fursa za kiuchumi za raia wake hasa katika sekta ya biashara ndogondogo. Msemaji wa ...
Bodi ya Hakimiliki ya Kenya, KECOBO, imealika mashirika yanayotimiza vigezo kuwasilisha maombi ya leseni za kuwa Mashirika ya ...
Kenya imeashiria utayari wake wa kuongeza biashara ya mahindi na Uganda wakati nchi hizo mbili zikilenga kuzidisha biashara ...
Watengenezaji filamu wa Kenya wamehimizwa kuwasilisha kazi zao kwa ajili ya tuzo za akademia almaarufu Oscars kabla ya ...
Raia nchini Uganda, wameanzisha kampeni mitandaoni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kumuunga mkono mwanasiasa wa upinzani, ...
Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi, amezitaka nchi za Afrika kutumia zaidi mitaji yao ya ndani kufadhili maendeleo, kuunda ...
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, DPP ameidhinisha mashtaka dhidi ya aliyekuwa Katibu katika Wizara ya Michezo, Balozi Peter ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results